TUNAOMBA RADHI PICHA SI NZURI: TAZAMA PICHA KUMI (10) ZA AJILI MBAYA ILIYOTOKEA SINGIDA NA KUUWA WATU 13 PAPOHAPO.

Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Isuna tarafa ya Ikungi wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, wakitoa miili ya abiria wa Noah T.730 BUX waliofariki baada ya gari hilo kugongwa na lori aina ya Scania T.687 AXB kwenye barabara kuu ya Singida – Dodoma leo

Baadhi ya miili ya abiria wa Noah T,730 BUX waliofariki leo kwenye ajali iliyotokea eneo la kijiji cha Isuna tarafa ya Ikungi wilaya ya Ikungi.


0 comments:

Post a Comment

Top 10 Articles

Gallery

PGA Head Teaching Professional

Portfolio