CHELSEA WAKUBALI OFA YA £37M KUTOKA MAN UNITED KWA AJILI YA MATA - KUFANYIWA VIPIMO LEO
Ofa ya Manchester United
ambayo inaaminika kuwa kiasi cha £37m, imekubaliwa na klabu ya Chelsea
kwa ajili ya usajili kiungo wa kihispania Juan Mata.Kiungo mwenye miaka
25 atafanyiwa vipimo vya afya leo Alhamisi kabla ya kukamilisha usajili
wake wa kujiunga na mabingwa hao wa EPL.Mata anategemewa kusaini mkataba
wa miaka minne na nusu wa kuwepo Old Trafford.Mhispania
huyo, ambaye alikuwa mchezaji bora wa Chelsea katika misimu miwili
iliyopita, aliwaaga wachezaji wenzie jana Jumatano katika uwanja wa
mazoezi wa Chelsea - Cobham.United hata hivyo wameendelea kukaa kimya
kuhusu uthibitisho wa dili...
Published By: Shaffih Dauda - Today
Published By: Shaffih Dauda - Today
0 comments:
Post a Comment