Hili ndilo jumba jipya la Rick Ross, lina vyumba 106
Kiongozi wa Maybach Music Group Rick Ross is kweli kwa sasa anaishi maisha ya a certified boss baada ya kuripotiwa kudondosha mamilini ya dola kununua bonge la mansion lililokuwa likimilikiwa na mcheza ndondi wa zamani Evander Holyfield, kwa ripoti zinavyodai, jumba hilo kwasasa linamilikiwa na Ricky Ross.
0 comments:
Post a Comment