Mchekeshaji Joan Rivers amponda mtoto wa Kanye kwa kusema ni "MBAYA"

Mwana mama mchekeshaji Joan Rivers, amemponda mtoto wa Kanye West, "North West" kwa kusema ni MBAYA, katika vichekesho vilivyofanyika Saban Theater, january 17, Los Angeles, California.


 Huyo mtoto ni "mbaya" alisema Rivers, "sijawahi kuona mtoto wa miezi 6 akihitaji sana kufanya wax kama mtoto wa Kanye".

wax imegeuka kua gumzo kwa watu mpaka kufikia watu wengine kuamini kuwa Kim Kardashian na Kanye wamemtinda nyusi mtoto wao. Kim alikana tuhuma hizo kwa kuandika twee hii

  Kim Kardashian         @KimKardashian

Do people really think I would wax my daughters eyebrows so young? Come on, I'd wait until she's at least 2 1/2!
 

0 comments:

Post a Comment

Top 10 Articles

Gallery

PGA Head Teaching Professional

Portfolio