NICK MINAJ AKIONESHA UZURI WAKE BILA MAKE UP
Nikki Minaj aamua kuonyesha uhalisia wa uzuri wake kupitia picha zake za instagram
akiwa hana make up, wigi wala nguo zake tunazomuona nazo kila wakati
katika picha zake. Nikki anaonekana akiwa na nguo za kawaida kabisa
zinzomfanya aonekane mzuri hatari, ngozi nyororo isiyo na make up kama
tulivyomzoea..
Cheki picha hizo hapo chini
Cheki picha hizo hapo chini
0 comments:
Post a Comment