NICK MINAJ AKIONESHA UZURI WAKE BILA MAKE UP
Nikki Minaj aamua kuonyesha uhalisia wa uzuri wake kupitia picha zake za instagram
akiwa hana make up, wigi wala nguo zake tunazomuona nazo kila wakati
katika picha zake. Nikki anaonekana akiwa na nguo za kawaida kabisa
zinzomfanya aonekane mzuri hatari, ngozi nyororo isiyo na make up kama
tulivyomzoea..
Cheki picha hizo hapo chini
Cheki picha hizo hapo chini
0
comments
8:54 AM
Kigauni cha LULU chazua balaa Mtandaoni…!!
Mavazi anayovaa msanii wa filamu Elizabeth
Michael ‘Lulu,’ sasa yanamuweka matatani kufuatia hivi karibuni
kushambuliwa kwa maneno kutokana na kigauni cha kimitego alichokuwa
amevaa.
Kigauni hicho ambacho juzikati alionekana nacho mitaa ya Sinza jijini Dar kisha baadaye kukitupia mtandaoni, kimewafanya wengi wahoji anakoelekea msanii huyo anayedai amebadilika.
“Hivi huyu ndiye anayesema amebadilika kweli kwa mavazi haya, mbona anataka kuwapa wakati mgumu wanaume? Ndo ili iweje sasa, ama kweli jasiri haachi asili,” alisema mdau mmoja baada ya kuiona picha hiyo.
Ijumaa lilifanya jitihada za kumtafuta Lulu ili kujua sababu ya kuvaa mavazi hayo lakini simu yake iliita bila kupokelewa.

7:56 AM
Subscribe to:
Posts (Atom)
Top 10 Articles
-
Hey guys, Today I am going to tell you my secret on how to get a six pack in 3 minutes. Sounds too good to be true, right? Now, ...
-
Kiongozi wa Maybach Music Group Rick Ross is kweli kwa sasa anaishi maisha ya a certified boss baada ya kuripotiwa kudondosha mamili...
-
Mtoto huyo ambaye jina lake tumelihifadhi kutokana na sababu za kimaadili, hajui kiswahili vizuri, hivyo nalazimika kumuomba mtoto mwe...
-
Nikki Minaj aamua kuonyesha uhalisia wa uzuri wake kupitia picha zake za instagram akiwa hana make up, wigi wala nguo zake tunazomuona nazo...
-
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Isuna tarafa ya Ikungi wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, wakitoa miili ya abiria wa Noah T.730 BUX waliofa...
-
Sunday, 19 January 2014 20:59 E-mail Print PDF >>WADAU WADAI KILICHOBAKI SASA NI KUPIGANIA 4 BORA TU! >>HETITRIKI YA GWIJI...
-
Justin Bieber was allegedly under the influence of alcohol, prescription drugs, and marijuana when he was arrested, according ...
-
When the president wa wasafi classic meet his first lady wema sepetu kila kitu seems to go as planned and fans expectations huwa zipo ...
-
kiu ya haki: AIBU: MKE AFUMANIWA AKIGAWA URODA CHUMBANI KWA MUM... : Timbwili I zito limeibuka baada ya mwanaume aliyetajwa kwa jina moja l...
Gallery
PGA Head Teaching Professional
Portfolio
Popular Posts
-
How to Get a Six Pack in 3 Minutes
-
eid mubarack
-
Hili ndilo jumba jipya la Rick Ross, lina vyumba 106
-
Ana umri wa miaka 12, aolewa kwa ng’ombe 15
-
NICK MINAJ AKIONESHA UZURI WAKE BILA MAKE UP
-
TUNAOMBA RADHI PICHA SI NZURI: TAZAMA PICHA KUMI (10) ZA AJILI MBAYA ILIYOTOKEA SINGIDA NA KUUWA WATU 13 PAPOHAPO.
-
LIGI KUU ENGLAND STAMFORD BRIDGE: MAN UNITED YAPIGWA 3-1, UBINGWA….BAI BAI??
-
Justin Bieber was arrested and charged with driving under the influence, resisting arrest, and driving with an expired license, Miami Beach police said.
-
Kwanini Diamond yupo na wema sepetu ?
-
kiu ya haki: AIBU: MKE AFUMANIWA AKIGAWA URODA CHUMBANI KWA MUM...
Featured Post (Slider)
About
Contact us
Total Pageviews
Recent Comments
Categories Post
Social Icons
Contact Form
Combine
Horizontal
Vertical1
Powered by Blogger.
Translate
Popular Posts
-
Hey guys, Today I am going to tell you my secret on how to get a six pack in 3 minutes. Sounds too good to be true, right? Now, ...
-
When the president wa wasafi classic meet his first lady wema sepetu kila kitu seems to go as planned and fans expectations huwa zipo ...
-
Muingizaji wa filamu nchini,Jacklyn Wolper amesema pamoja na kuwa na mahusiano na wasanii wenzake akiwemo Diamond,Jux. lakini Ally Kiba...
-
kiu ya haki: AIBU: MKE AFUMANIWA AKIGAWA URODA CHUMBANI KWA MUM... : Timbwili I zito limeibuka baada ya mwanaume aliyetajwa kwa jina moja l...
-
Mavazi anayovaa msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu,’ sasa yanamuweka matatani kufuatia hivi karibuni kushambuliwa kwa maneno kutoka...
-
Justin Bieber was allegedly under the influence of alcohol, prescription drugs, and marijuana when he was arrested, according ...
-
Eddie Murphy did not die this morning, 3AM can confirm. A twitter rumour erupted over the weekend that the stand-up comedian, who...
-
Nikki Minaj aamua kuonyesha uhalisia wa uzuri wake kupitia picha zake za instagram akiwa hana make up, wigi wala nguo zake tunazomuona nazo...
0 comments:
Post a Comment